
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe
Benjmani William Mkapa na Rais wa Awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi
wakati wa futari iliyoandaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue (wa pili kushoto) nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam
Jumapili

Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefua akimshukuru Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjmani William Mkapa na
Rais wa Awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa kuhudhuruia futari
aliyoaiandaa nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam Jumapili

Shehe Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Alhad akiongoza dua kwa waalikwa
waliohudhuyruia futari aliyoaiandaa nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar
es salaam Jumapili


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe
Benjmani William Mkapa na Rais wa Awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi
baada ya futari iliyoandaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue Oysterbay jijini Dar es salaam Jumapili

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjmani William Mkapa na Rais wa
Awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya futari iliyoandaliwa na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) nyumbani kwake
Oysterbay jijini Dar es salaam Jumapili.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment