ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, August 20, 2013

Shughuli za kuuaga mwili wa Marehemu Neema Mangula 25

 

MAREHEMU NEMELA MANGULA


















































Shughuli ya kuaga mwili imefanyika nyumbabni kwa Baba wa marehemu, Philip Mangula pale Masaki, Dar es Salaam, na utasafirishwa  Agosti 20, 2013 kwenda Njombe kwa ajili ya mazishi.


Mtoto wa Makamu  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula, Neema Mangula (25) alifariki dunia jumamosi usiku kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Aga Khan Wilayani Ilala. Alikumbwa na mkasa huo wakati akitokea kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yake iliyokuwa ikifanyika katika Ukumbi wa Waterfront uliopo Gerezani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...