ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, August 29, 2013

Vita yanukia Syria: Wakati Marekani na nchi za magharibi zikijiandaa kuishambulia Syria, Urusi nayo yaanza kusogeza silaha zake kali karibu na Syria.

The "Moskva", a Russian rocket cruiser, moors at Havana's harbour, on August 3, 2013
A Russian Navy anti-submarine ship during Russian Navy Day celebrations in Vladivostok navy base on July 27, 2003    US Navy pcicture shows the USS Gettysburg (L) and the aHarry S. Truman on August 3, 2013   

Gibraltar tensions
 
 Urusi ambayo ni mshirika mkubwa wa Syria, imetuma meli zake za kivita katika bahari ya Mediteranian karibu kabisa na Syria, ambapo meli za kivita za marekani zilishaanza maandalizi ya kuwa tayari kuishambulia Syria wakati wowote. Meli za kivita za Urusi ambazo zimeelekezwa kusogea karibu na Syria ni "Moskava" hii ni meli inayorusha makombora ya roket, Varyag, na nyingine aina ya nyambizi. Hata hivyo Urusi imekanusha habari kuwa meli hizo ni kwaajili ya kumsaidia Assad endapo atashambuliwa na Marekani na washirika wake. Shirika la habari la Urusi RIA ambalo linasimamiwa na serikali limetoa taarifa kuwa, kupelekwa kwa meli hizo za kivita katika Pwani ya Syria sio kutokana na mzooz unaoendelea sasa Syria bali ni moja ya safari zake za Transatlantic.

   
Wakati huo huo, Uingereza imetuma ndege zake za kivita aina ya Typhoon huko Cyprus kwa ajili ya mahsambulio na ulinzi wakati wowote

  Hii ni meli ya kivita ya Marekani ikifanya mazoezi namna itakavyomlipua Assad pindi vita itakavyoanza
 
 
 
The "Moskva", a Russian rocket cruiser, moors at Havana's harbour, on August 3, 2013. Russia will "over the next few days" be sending an anti-submarine ship and a missile cruiser to the Mediterranean as the West prepares for possible strikes against Syria, the Interfax news agency said on Thursday. (AFP Photo/Adalberto Roque)
Russia will "over the next few days" be sending an anti-submarine ship and a missile cruiser to the Mediterranean as the West prepares for possible strikes against Syria, the Interfax news agency said on Thursday.
"The well-known situation shaping up in the eastern Mediterranean called for certain corrections to the make-up of the naval forces," a source in the Russian General Staff told Interfax.
"A large anti-submarine ship of the Northern Fleet will join them (the existing naval forces) over the next few days.
"Later it will be joined by the Moskva, a rocket cruiser of the Black Sea Fleet which is now wrapping up its tasks in the northern Atlantic and will soon begin a Transatlantic voyage towards the Strait of Gibraltar."
In addition, a rocket cruiser of the Pacific Fleet, the Varyag, will join the Russian naval forces in the Mediterranean this autumn by replacing a large anti-submarine ship.
However, the state-run RIA Novosti news agency cited a high-ranking representative of the naval command who said the changes to the country's forces in the region were not linked to the current tensions over Syria and called them "a planned rotation."

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...