ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, September 19, 2013

Arsenal yaibamiza Marseille 2-1 ufaransa

walcott 51ab5
Aaron Ramsey akiifungia Arsenal Bao (HM)
walcot 20541
Theo Walsott akifunga bao
walcott2 fb77c
Jordan Ayew akiifungia bao Marseille
ARSENAL imeanza vyema Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kushinda ugenini mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Marseille Uwanja wa Velodrome, Ufaransa.
Mabao ya Gunners yalifungwa na Theo Walcott dakika ya 65 na Aaron Ramsey dakika ya 83, wakati la wenyeji lilifungwa na Jordan Ayew kwa penalti dakika ya 90.
Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Szczesny, Gibbs, Koscienly, Mertesacker, Sagna, Flamini/Myaichi dk90, Wilshere, Ramsey, Ozil, Walcott/Monreal dk77 na Giroud.
Marseille: Mandanda, Fanni, N'Koulou, Mendes, Morel, Romao, Imbula/Thauvin dk79, Payet/J.Ayew dk72, Valbuena/Khalifa dk89, A. Ayew na Gignac. Chanzo: sportmail

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...