Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akimweleza jambo Mwenyekiti wa
Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo
kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC) ambaye pia ni mwenyekiti wa PAC
kutoka Bunge la Afrika Kusini Mhe. Sipho Makama wakati wa mapumziko ya
Mkutano wa 10 wa SADCOPAC unaendelea Arusha.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiwasilisha Taarifa ya
Tanzania ya utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 8 na 9 ikiwa ni
matakwa ya Wajumbe wa Mkutano huo ambapo kila Nchi wanachama huwasilisha
taarifa hiyo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe.
Zitto Kabwe akiuliza swali wakati wa majadiliano ya mkutano wa Umoja wa
Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa
jangwa la sahara (SADCOPAC) unaoendelea Arusha.
Mjumbe
wa Mkutano wa Mwaka wa SADCOPAC kutoka Tanzania Mhe. Asumpta
Mshama akiuliza swali wakati wa majadiliano ya mkutano wa Umoja wa
Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa
jangwa la sahara (SADCOPAC) unaoendelea Arusha. Tanzania imewasilisha
utekelezaji wa maazimio ya mikutano ya 8 na 9 katika mkutano huo. Picha na Bunge
No comments:
Post a Comment