
Askari
Jeshi
la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili
wa Askari mwenzao, Marehemu Private, Hugo Munga alifariki dunia Septemba
18
mwaka huu huko Pretoria Afrika Kusini kufuatia majeraha aliyoyapata
akiwa na
vikosi vya MONUSCO Congo DRC katika operations ya kuwaondoa waasi wa
M23. Mwili
wa Munga ulisafirishwa jana kwenda Mkoani Kilimanjaro kwa mazishi.
Shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu ilifanyika Viwanja vya Jeshi
Lugalo, Dar es Salaam jana

Mama wa Marehemu, Jovitha Barnaba Munga akisaidiwa kuaga mwili wa mwanae.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange akizungumza
Viongongozi mbalimbali wa Siasa(wa
pili kushoto ni katibu mwenyekiti wa chadema na mbunge wa hai freeman
mbowe) na Jeshi wakiwa katika shughuli hiyo.
Wanajeshi wa JWTZ waliokuja kumuaga Mwanajeshi mwenzao Marehemu Jovitha Barnaba Munga.
Baadhi ya waombolezaji ambao ni Askari wenzake marehemu pamoja na wana familia wakiwa eneo la tukio.
Wanajeshi wa JWTZ waliokuja kumuaga Mwanajeshi mwenzao Marehemu Jovitha Barnaba Munga.Picha Zote na Mroki Mroki
No comments:
Post a Comment