ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, September 19, 2013

MTU MMOJA ALIWA NA SIMBA WAKATI AKIENDA SHAMBANI

Hivi karibuni mdau wa website ya masainyotambofu akiongea kwa njia ya simu ya kiganjani kutoka huko mkoani LINDI wilaya ya NACHINGWEA katika kijiji cha ''LIONJA'' Alitoa taarifa kuhusu Mtu huyu mwenye umri wa miaka (45) ameuwawa na simba wakati akienda shambani kwake alfajiri kwenda kuangalia korosho wakati akielekea shambani ndipo aliposhambuliwa na simba hao wawili kabla ya tukio hilo simba hao walikuwa wakishambulia mbwa katika kijiji hicho, Tukio hili lilijiri siku chache zilizopita, M/mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi,






Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuuona mwili wa marehemu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...