Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya kiislamu
nchini, Sheik Ponda amerudishwa tena maabusu baada ya kunyimwa rufaa ya
kesi yake iliyokuya ikisikilizwa leo katika mahakama ya Hakimu mkazi
mfawidhi mkoani Morogoro. Kesi iyo imehairishwa hadi tarehe 1/10/2013
______________________________________________________________________________
WAFUASI WAKE
ULINZI MKALI
No comments:
Post a Comment