ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, September 17, 2013

VIDEO:Taarifa ya Habari Kutoka ITV: Serikali ya nchi ya Rwanda imewarejesha watanzania 70 jamii ya wafugaji wa kabila la wahima na wazinza waliokamatwa kimakosa katika operesheni kimbunga inayoendelea nchini na kuwataka wananchi wake kuwa watulivu wakati kamati ya bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki ikishughulikia mgogoro uliopo kati ya rwanda na nchi ya Tanzania.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...