PAPA FRANCIS AMTIMUA ASKOFU "MPENDA ANASA AU BISHOP OF BLING" WA UJERUMANI..
atican haikusema kama askofu Franz-Peter Tebartz-van Elst atafukuzwa moja kwa moja ila ilimteuwa Monsignor Wolfgang Roesch, kama mzimamizi wa kitume wakati ambambo askofu atakuwa hayupo.
Katika taarifa yake, Vatican imesema kuwa Askofu Tebartz-van Elst hatoweza kufanya shughuli zake za kitume kutokana na hali halisi katika jimbo hilo (In a statement, the Vatican said the situation in the diocese had become such that Tebartz-van Elst "could no longer exercise his episcopal ministry.)"
Hata hivyo Askofu huyo alitetea mzimamo wake wa ujenzi wa gharama kubwa kwa kuwa kulikuwa na sheria mpya katika kufanyia ukarabati majengo ya kihistoria, na kwamba kulikuwa na porjects nyingine kumi.

Jumba la kuishi Askofu huyo

Kathedral iliyofanyiwa ukarabati


Gari la kifahari la Askofu huyo


No comments:
Post a Comment