ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, October 29, 2013

HIVI NDIVYO BALOZI ISACK SEPETU ALIVYOAGWA SINZA JIJINI DAR

Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu enzi za uhai wake  
Mh. Jaji Warioba  akisaini kitabu cha Maombolezo leo mchana nyumbani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu jijini Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akisaini kitabu cha maombolezo leo October 29, 2013 nyumbani kwa marehemu Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu Mama Gertrude Mongella akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu nyumbani kwake Sinza Mori leo October 29, 2013

Mh. Jaji Warioba na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe wakibadilishana mawazo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo October 29,2013
Baadhi ya viongozi waliofika msibani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu Watu wa karibu na marehemu waliokuwa wanaishi naye huko Zanzibar wakizungumza jambo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam Mtoto mkubwa wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu, Aman Isaac Sepetu akizungumza jambo na mwandishi wa habari,  Mkwaia wa Kuhenga  leo October 29, 2013 nyumbani kwa Marehemu Mtoto wa marehemu akimsalimia mama baada ya kufika msibani hapo leo mchana

Mama akiwa na mwanae baada ya kufika msibani Wema Sepetu  (katikati) akiongea na Dada yake (wa kwanza Kushoto) na (kulia) ni mama yake mama yake mzazi Kajala alishindwa kujizuia na kuanza kulia na kupelekea watu wengine kuanza kulia kwa majonzi Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukifikishwa nyumbani kwake Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani ya nyumba Aman Isaac Sepetu ambaye ni mtoto mkubwa wa marehemu akitoka ndani na msalaba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likitolewa ndani ya nyumba kwa ajili ya kufanyiwa maobi na kuagwa ili kupelekwa Zanzibar kwa ajili ya mazishi Wema Sepetu akiwa ameshikiliwa baada ya kuona mwili wa baba yake mzazi Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukiwa kwenye jeneza Ilikuwa ni simanzi kubwa kwa Wema Sepetu Wema Sepetu akiwa na simanzi nzito Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukiwa ndani ya jeneza Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013 Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013 Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013 Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013 Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013 Ni simanza msibani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo leo October 29, 2013 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe akitoa salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu Mwendesha misa akitoa neno
Somo la mwenyezi mungu likisomwa wakati wa kuagwa kwa Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Mwili wa marehemu ukiombewa Baadhi ya watoto wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu Wasifu wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetua ukisomwa Mtoto mkubwa na msemaji wa familia, Aman Isaac Sepetu akitoa shukrani kwa wale wote waliofika kuwafariji kwenye msiba wa baba yao mpendwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013 Mke wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu akiwa na mmoja wa mtoto wa  Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu Baadhi  ya ndugu na jamaa waliofika msibani
Ni majonzi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...