Pierre Emerick Aubayeng
Akiwa mchezaji wa zamani wa timu ya vijana ya AC MILAN, Pierre
Emerick anayechezea Saint Etienne kwa mkataba wa kudumu, yumo ndani ya
wanaowania taji la BBC la mwanasoka bora zaidi Afrika 2013.
Victor Moses
Victor Moses ni mchezaji mwenye umri wa miaka 22, ambaye kwa
sasa anachezea klabu yake ya nne ya Liverpool
John Mikel Obi
Akiwa mchezaji wa timu ya Chelsea ya England kwa miaka saba,
John Mikel Obi ameteuliwa kuwania taji la BBC la mwanasoka bora zaidi mwaka
2013
Jonarthan Pitroipa
Wasifu wa Jonarthan Pitroipa pamoja na tathmini ya mchezo wake
kwani mmoja wa walioteuliwa kuwania taji la mwanasoka bora zaidi
Afrika
Yaya Toure
Mmoja wa wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo la BBC la
mwanasoka bora zaidi barani Afrika mwaka 2013
No comments:
Post a Comment