Kutoka Hospitali ya Milpark jijini Johannesburg Afrika Kusini; Mhadhiri
wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati ya Katiba na
Mwanasiasa Dr. Sengondo Mvungi amefariki dunia hospitalini hapo leo
majira ya saa tisa alasiri.
Mwenyezi Mungu aimpuzishe roho yake mahali pema peponi. Pole kwa familia, chama, Kamati ya Katiba na Watanzania wote.

Mwenyezi Mungu aimpuzishe roho yake mahali pema peponi. Pole kwa familia, chama, Kamati ya Katiba na Watanzania wote.

No comments:
Post a Comment