MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013 YAMETANGAZWA LEO HII
KUTIZAMA MATOKEO BOFYA HAPA CHINI
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.
Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950.
2. Marian Boys (Pwani)
3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
4. Precious Blood (Arusha)
5. Canossa (Dar-es-salaam)
6. Marian Girls (Pwani)
7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
8. Abbey (Mtwara)
9. Rosmini (Tanga)
10. DonBosco Seminary (Iringa)
2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya)
3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam)
4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani)
5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani)
6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam))
7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera)
8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera)
9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani)
10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya)
Baraza
la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne ya
mwaka 2013 na kiwango cha
ufaulu Kimeongezeka kwa asilimia kati ya 0.61 na 16.72 ukilinganisha
na mwaka 2012.
Jumla
ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya
mtihani wamefaulu.
Wanafunzi
74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.
Wavulanawaliopata
daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549
Waliopata
daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561
Waliopata
daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561.
Wavulana
waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni
17,113.
Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.
Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950.
Shule
10 bora matokeo kidato cha nne 2013 ni:
1. St.Francis Girls (Mbeya)
1. St.Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Boys (Pwani)
3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
4. Precious Blood (Arusha)
5. Canossa (Dar-es-salaam)
6. Marian Girls (Pwani)
7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
8. Abbey (Mtwara)
9. Rosmini (Tanga)
10. DonBosco Seminary (Iringa)
Wanafunzi
10 bora matokeo kidato cha nne 2013 ni:
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani)
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani)
2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya)
3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam)
4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani)
5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani)
6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam))
7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera)
8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera)
9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani)
10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya)
No comments:
Post a Comment