HII NI ZAWADI ALIYOPEWA DROGBA NA CHELSEA
Didier
Drogba to get Silver shoe from Chelsea for his services to the club.
Juzi usiku wakati wa Mechi ya Chelsea na Galatasaray , Uongozi wa
Chelsea walimwandalia Mchezaji Drogba zawadi ya Kiatu cha Silver kwa
kuonesha kuukubali mchango wake wakati anachezea hiyo Team kabla ya
kuondoka.
No comments:
Post a Comment