
Hizi ndiyo Jezi mpya za Adidas za Taifa Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF) lilifikia makubaliano na kampuni ya Adidas kupitia msaada wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kupatiwa vifaa vya michezo.Kufuatia makubaliano hayo TFF tulipatiwa vifaa kadhaa vya adiads kwa ajili ya timu ya Taifa ya wakubwa (Taifa Stars). Vifaa hivyo zikiwemo jezi tulianza kuvitumia kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Namibia iliyochezwa Machi 5 mwaka huu jijini Windhoek.
No comments:
Post a Comment