ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, March 10, 2014

IKULU YAKANUSHA VIKALI HABARI ZA GAZETI LA MWANANCHI LILOCHAPISHA HABARI KUWA RAIS JAKAYA KIKWETE AMTEMBELEA MFUNGWA WA EPA BWANA RAJAB MARANDA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI


  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM Bwana Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa muhimbili baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijulia hali Ofisa wa Habari tume ya Uchaguzi Bi.Margareth Chambiri aliyelazwa katika Tasisi ya MOI Hospitali ya Taifa Muhimbili.Bi.Chambiri aliwahi kufanya kazi katika Televisheni ya Taifa TBC.Picha na Freddy Maro-IKULU
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...