
Wananchi wakimshangilia Mgimwa wakati akinadiwa na Joyce
Msambatavangu, mtk wa ccm mkoa wa Iringa ktk Kijiji cha Tanangozi.

Mgimwa akihutubia kijiji cha Mseke.

Wananchi wakimshangilia mgombea wa CCM, katika uchaguzi mdogo
jimbo la kalenga, Godfrey Mgimwa, alipohutubia mkutano wa kampeni katika
kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke, leo Machi 9, 2014.

Mkt CCM mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu akihutubia mkutano wa kampeni Kijiji cha Mseke.

Wananchi wakimbeba Mgimwa kumpeleka jukwaani katika kijiji cha Mseke.

Mgimwa akiwa amebebwa na wananchi baada ya mkutano wake Kijiji cha Tanangozi, kata ya Mseke.

Shangwe na Hoi hoi Tanangozi wakati akipowasili Mgimwa kufanya mkutano wa kampeni.

Msela akiwa amembeba Mgimwa kumpelekea kwenye gari baada ya
mkutano katika kijiji cha Wende uliofanyika wakati mvua inanyesha.

Mgimwa akipigwa na mvua nje ya gari wakati akiwaaga wananchi katika Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga leo.

Mwananchi wa Kijiji cha Msese akisema CCM dole tupu.

Wananchi wa kijiji cha Mseke wakifuatilia kwa makini Mgimwa alipohutubia ktk kijiji hicho.jpg

Mgimwa akipigwa na mvua nje ya gari wakati akiwaaga wananchi katika Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga leo.Picha na Bashir Nkromo
No comments:
Post a Comment