ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, May 15, 2014

DIAMOND PLATINUMZ ACHAGULIWA KUWANIA TUZO YA MSANII BORA WA KIMATAIFA AFRICA.


Kabla haijasahaulika namna alivyoweka historia katika tuzo za KTMA 2014 kwa kuondoka na tuzo 7, Diamond ameandika historia nyingine kwa kuwa msanii wa kwanza Tanzania kuteuliwa katika tuzo za BET zinazotolewa na kituo cha Black Entertainment Television cha nchini Marekani. Diamond ameingia kwenye kipengele cha msanii bora wa kimataifa Africa.

Pongezi sana kwa Diamond na tunaamini mashabiki wote wa muziki nchini wataungana kumpigia kura na kuhakikisha tuzo inarudi Bongo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...