ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Sunday, September 21, 2014

CHADEMA YASISITIZA MAANDAMANO YAPO PALE PALE NCHI NZIMA


 Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari.
 Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila akionesha barua za kuomba vibali vya kufanya maandamano katika maeneo mbalimbali nchini. 
 Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habariDar es Salaam leo, kuhusu maandamano ya chama hicho yatakayoanza leo nchini kote kupingakuendelea kwa bunge Maalumu la Katiba linaloendelea Dodoma. Kulia ni× Kada wa Chadema, Aron Mashuve na Mwanasheria wa chama hicho, John Malya.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...