
Uwashushe
abiria matajiri wachache wenye kudhamiria kuhujumu safari ya wanyonge
walio wengi kwenda kujikomboa kutoka kwenye umasikini. Na matajiri hao
wana hila, wanaweza hata kukuhonga kondakta wetu, kwa kwa kuwa tayari
hata kukupa nauli zaidi ya uliyopanga kondakta wetu...!
Goodmorning.
Maggid.(P.T)
Goodmorning.
Maggid.(P.T)
No comments:
Post a Comment