ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label KUUNGA MKONO WAFANYABIASHARA WADOGO WA MAREKANI.. Show all posts
Showing posts with label KUUNGA MKONO WAFANYABIASHARA WADOGO WA MAREKANI.. Show all posts

Tuesday, December 3, 2013

RAISI OBAMA AWA-SURPRIZE WATEJA KWA KUFANYA SHOPING MWENYEWE, KUUNGA MKONO WAFANYABIASHARA WADOGO WA MAREKANI


Obama na wanae-1
Rais Obama akiwa na wanaye Sasha na Malia katika duka la vitabu kusupport biashara ndogo
Jumamosi ya baada ya ‘Thanks giving day’ kwa Marekani, hufahamika kama ‘small Business Saturday’, hivyo Obama kama kiongozi wa taifa hilo aliamua kuwa mfano kwa raia wa Marekani kuwaunga mkono wafanyabiashara wadogo wanaotoa huduma kwa jamii.

Obama na wanae-3
Wateja pamoja na wafanyakazi wa duka hilo la vitabu walipata mshituko kumuona kiongozi wa taifa hilo kubwa na lenye nguvu duniani, akiingia dukani hapo akiwa amevalia mavazi ya kawaida (casual), na kuchagua vitabu kisha kwenda counter na kulipa kama wafanyavyo wateja wa kawaida.
Obama na wanae-2
-Hapa Rais Obama akiwasalimia wateja aliowakuta dukani hapo
Obama na wanae-7
Rais Obama alionekana kujichanganya na wateja wengine na kuzungumza nao na kufurahi huku akiendelea kufanya manunuzi ya vitabu.
President Obama Shops for Books With Daughters Malia and Sasha
Obama na wanae-5
-Obama akilipia vitabu alivyochagua dukani hapo kama mteja wa kawaida
Obama na wanae-6
Baada ya kufanya manunuzi yake, Obama aliwaaga wateja na wafanyakazi nakuwatakia “great holiday,” kisha wote wakampigia makofi. Mke wa Rais Obama, Michelle Obama hakuwa pamoja na familia yake wakati huo.
President Obama Shops for Books With Daughters Malia and Sasha
Baada ya kutoka katika duka hilo baadaye alitweet
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...