Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha,
Samson Mwigamba, amepinga uamuzi wa kusimamishwa kwa maelezo kuwa kikao
kilichochukua uamuzi huo hakitambuliki kikatiba huku akikanusha tuhuma
za kutumiwa na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, kukisambaratisha chama
hicho.