ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label Arusha. Show all posts
Showing posts with label Arusha. Show all posts

Thursday, January 29, 2015

THE CHARTERD INSTITUTE OF LOGISTIC AND TRANSPORT (CILT) WAANDAA MKUTANO MKUBWA ARUSHA,MWAKYEMBE AUBARIKI


Aliyekuwa waziri wa uchukuzi ambaye sasa ni aziri wa ushirikiano wa africa mashariki mh HARSON MWAKYEMBE akizungumza na wadau mbalimbali walojitikeza katika afla hiyo ya kutafuta fedha za kuendesha mkutano huo utakao fanyika mapema mwezi wa tatu.
Taasisi ya kimataifa ya uhudumiaji wa bidhaa na uchukuzi wa bidhaa CILT yani THE CHARTERD INSTITUTE OF LOGISTIC AND TRANSPORT Tawi la Tanzania imeandaa mkutano mkubwa nchini ambao utafanyika katika mkoa wa arusha tarehe 3 na 4 mwezi wa tatu mkutano wenye lengo la kuwakutanisha wadau mbalimbali wa maswala ya usafirishaji na uchukuzi kujadili changamoto mbalimbli katika secta hiyo.

Mwenyekiti wa CILT nchini Tanzania GEORGE MAKUKE akizungumza kuhusu mkutano huo na taasisi hiyo inavyofanya kazi. Mkutano huo ambao utafanyika katika hoteli ya mount meru jijini arusha una mipango pia ya kuwakutanisha wanataaluma wa maswala ya uchukuzi na usafirishaji wa bidhaa ili kubadilishana uzoefu katika taluma hiyo.
Akizungumza wakati wa hafla fupi ya kupata chai yenye lengo la kuchangisha fedha ambazo zitasaidia katika kuendesha mutano huo aliyekuwa waziri wa uchukuzi ambaye sasa ni waziri wa ushirikian wa Africa mashariki MH HARSON MWAKYEMBE amesema kuwa Tanzania kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa kama huu ni fursa ya kipekee ambayo nchi inatakiwa kujivunia na kuitumia kujitangaza kimataifa.

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano huo ndugu ZAKARIA HANSPOP akizngumza. Amesema kuwa mkutano huo utawasaidia hasa vijana ambao wanasoma maswala haya kukutana na wazoefu katika fani hiyo na kubadilishana uzoefu jambo ambalo litawajengea uzoefu katika kazi zao pindi watakapoingia katika fani.

Tuesday, May 13, 2014

JK KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSHA


Monday, May 5, 2014

Rais Jakaya Kikwete afungua mkutano wa Majaji Wanawake Arusha


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimbaq wimbo wa taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Kikwete.
Baadhi ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano mjini Arusha(picha na Freddy Maro).

Sunday, October 27, 2013

Vurugu Chadema: Mwigamba apinga kusimamishwa

mwigamba_cc3b0.jpg
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba, amepinga uamuzi wa kusimamishwa kwa maelezo kuwa kikao kilichochukua uamuzi huo hakitambuliki kikatiba huku akikanusha tuhuma za kutumiwa na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, kukisambaratisha chama hicho.

Thursday, October 3, 2013

MATEMBEZI YA TEMBO KUTOKA TANAPA MPAKA AICC YANAFANYIKA LEO ARUSHA


 WANANCHI MBALIMBALI WAKIWA WANAINGIA KWA AJILI YA KUJIPANGA
 BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA WANAJIPANGA KWA AJILI YA KUANZA MATEMBEZI
 BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WAKIENDELEA KUJIPANGA
 GARI LA HUDUMA YA KWANZA LIKIWA TAYARI KWA AJILI YA KUTOA HUDUMA WAKATI WA MATEMBEZI
 KUTOKA KULIA NI MR PETER AKIWA ANASALIMIANA NA MUHUSIKA KUTOKA ST.JUDE
 KIKOSI CHA KK SECURITY KIKIWA TAYARI KWA AJILI YA MATEMBEZI YA SIKU YA TEMBO
MR.PETER AKIWA ANAONGEA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA MISITU NA WANYAMA PORI MWEKA WANAJUMUIKA NA MATEMBEZI YA TEMBO.

Tuesday, September 24, 2013

WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI = ONGEZEKO LA AJALI

AJALI YA BASI LA PRINCE MURO ARUSHA


AJALI MBAYA IRINGA LEO ABIRIA ZAIDI YA 50 WA SAI -BABA EXPRESS WANUSURIKA KIFO

Askari wa  usalama barabarani Iringa  wakilitazama  basi la kampuni ya  Sai - baba Express  lenye namba  za Usajili T 668 BCD ambalo  liligongana  uso kwa  uso na lori  la kampuni ya Ivori lenye namba T 280 ADK eneo la Kibwabwa  katika barabara  kuu ya  Mbeya - Iringa  mchana  wa leo na  watu  zaidi  ya  watatu  kujeruhiwa  vibaya na  wengine zaidi ya 50 ambao ni abiria  wa  basi hilo kunusurika kifo
Lori la kampuni ya Ivory lenye namba  za usajili T 280 ADK lililogongana na basi hilo
Mmiliki wa  Lori la Ivory akiwa kama amechanganyikiwa  kwa  kupiga picha kila kona la basi hilo huku abiria  wakishangaa
Abiria  wa  basi la Sai- Baba Express wakilitazama basi  walilokuwa  wakisafiria  kutoka Tunduma Mbeya Kwenda Dar  ambalo limepata ajali  mbaya eneo la Kibwabwa  barabara  kuu ya Mbeya - Iringa  mchana wa  leo


Watu sita wamefariki dunia katika ajali ya barabarani eneo la Chinangali –Dodoma

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...