ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label Nando evicted from Big Brother The chase.. Show all posts
Showing posts with label Nando evicted from Big Brother The chase.. Show all posts

Saturday, August 3, 2013

Nando arejea Marekani


MTANZANIA MSHIRIKI ALIYETOLEWA KATIKA MJENGO WA BIG BROTHER AFRIKA AMMY NANDO ATUA JIJINI LOS ANGELELS CALIFORNIA 

Pichani: Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (Katikati nyuma) na Ammy Nando

Monday, July 29, 2013

NANDO ATIMULIWA BIG BROTHER KWA UTOVU WA NIDHAM


 

Nando, mshiriki toka Tanzania ametimuliwa katika jumba la Big Brother baada ya kudumu kwa wiki tisa.
Sheria za mwaka huu katika jumba hilo ni kwamba mshiriki haruhusiwi kufanya kosa kubwa ambalo litampelekea kupata "strike" Onyo. Nando alikutwa na kisu alipoingia katika studio z channet O, Pia nando aligombana na mshiriki mwenzake Elikem ugomvi ambao Nando ndo aliyekuwa mwanzilishi wake, Pia Nando amekutwa amelala na mkasi kitandani. Ni kijana ambaye alikuwa hajiamini na pengine kila aliye karibu naye alionekana kuwa adui yake kwa namna moja ama nyingine. "A troubled young Man" kama alivyomwelezea Big Brother mwenyewe.
Kwa mujibu wa sheria hizo mpya, mshiriki atakayepewa onyo mara tatu atapewa adhabu ya kutimuliwa katika mashindano hayo ya Big Brother the Chase. Nando amefanya makosa mara tatu hivyo ametimuliwa rasmi. Pamoja na hivyo, Big brother ametoa onyo kwa yeyote atakayefanya fujo atatimuliwa mara moja
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...