ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label Big Brother Africa. Show all posts
Showing posts with label Big Brother Africa. Show all posts

Saturday, August 3, 2013

Nando arejea Marekani


MTANZANIA MSHIRIKI ALIYETOLEWA KATIKA MJENGO WA BIG BROTHER AFRIKA AMMY NANDO ATUA JIJINI LOS ANGELELS CALIFORNIA 

Pichani: Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (Katikati nyuma) na Ammy Nando

Tuesday, May 28, 2013

Big Brother Africa 2013 "The Chase" Watanzania watashinda?

Hawa ndiyo washirikiwa Bigi Brother Africa 2013. "The Chase"  Mtandao wako wa kijamii wa Goldentz unakuletea majina ya washiriki na nchi wanazotoka. Mtanange huu wa miezi mitatu utakuwezesha wewe mtazamaji kupata uhondo wa aina yake pale washiriki 28 ambao wanaishi sehemu moja bila kujali jinsia zao, wakishindania bingo la  dola za kimarekani 300,000. Mtanange huo utahusisha namna wanavyoweza kuishi kwa pamoja, kushirikiana lakini zaidi ni namna watu ambao wanajua kuna  kamera kila kona na microphone wanavyoweza kuishi bila kuigiza. Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, wengine watajikuta wanaanzisha uhusiano wa kimapenzi, wengine kugombana, wengine kufitiniana, wengine kutoana..... Wewe na mimi tutapaswa kupiga kura kumwokoa Mtanzania atakayeingia katika denja zoni na kupiga kura ya kumwondoa wa nchi nyingine ambaye wewe utaona kama  ni kikwazo kwa Mtanzania. Wapiga kura ndiyo wanaowaokoa mamates wa big brother. Ni matumaini yangu kuwa kama siyo Nando basi atakuwa Feza ambaye ataibuka mshindi wa milioni  za Kitanzania  4480,000,000/=
bba-chase-contestants-1
bba-chase-contestants-2 bba-chase-contestants-3
Who are you rooting for? Big Brother Africa The Chase! It’s on.

Friday, May 24, 2013

Fezza Kessy likely to represent Tanzania on Big Brother Africa 8

In Tanzania here are some of the likely faces that might hit our screens in the eighth edition of Big Brother Africa. These names were chosen basing on the fact of one’s  ability  to speak English fluently and their passion for reality TV.
Multichoice recently announced call for entries from applicant s willing to take part in Big Brother Africa 8 competition to apply  both online or obtain hard copy application forms  Starting February 1, the forms will be vailable in all  multichoice offices of the participating countries, including Tanzania
download (1)
Feza Kessy, Nisha, Shaa and Lisa Jensen,
Most of the Tanzania hopefuls have been in showbiz circles and willing to use the Big Brother Africa platform to show case their unique character and talent. Who would you recommend for the show.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...