ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, November 21, 2012

Katibu Mkuu Mpya wa CCM Abdulrahman Kinana, Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye, Mawaziri na Wajumbe Mbalimbali Waandamizi wa CCM Watua Mtwara Leo


Katibu wa itikadi na Uendezi CCM,Nape Nnauye(kushoto)akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana Leo hii asubuhi wakati wakielekea kupanda ndege kwenda mtwara
Katibu wa itikadi na Uendezi CCM,Nape Nnauye(kushoto)akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana wakipanda ndege asubuhi hii
Mawaziri Mwanri(kushoto) na Chizza nao Wapo kwenye Msafara
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana(Wa tatu Kulia)akizungumza na Viongozi wenzake
Viongozi mbalimbali wa CCM Wakiwa kwenye ndege Wakielekea Mtwara leo asubuhi
Katibu wa itikadi na Uendezi CCM,Nape Nnauye(kushoto)akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana wakisalimia baadhi ya wajumbe waliofika kuwapokea leo asubuhi
Katibu wa itikadi na Uendezi CCM,Nape Nnauye akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana wakipokea heshima muda mfupi baada ya kuwasili mtwara
Katibu Mkuu wa CCM,Kinana akiwasaluti wana-CCMN wakati wa mapokezi Uwanja wa ndege. Kulia ni MkU mkoa wa Mtwara Mohamed Sinani .
 Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Mtwara
Msafara wa pikipiki kutoka airport
Wamama wakishangilia eneo la Mangamba.Picha Zote na Bashir Nkromo -Mtwara

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...