Baadhi
ya wasanii kutoka Bongo Movie walifika leo katika makaburi ya kinondoni
ambapo ndipo mwili wa marehemu Steven Kanumba ulipohifadhiwa tangu
tarehe 4/7/2012, walifika ili kuweza kuonesha kuwa bado wapo nae hasa
kwa kile marehemu alichokifanya na kutoa mchango mkubwa katika Tasnia ya
filamu Tanzania.
No comments:
Post a Comment