Nikikupa
nafasi ya kuniambia namba ngapi atakua anacheza huyu president wan chi
kwenye hili soka unaweza kuotea ni namba ngapi?tunaweka kwenye story
kubwa kutokana na kutotokea mara kwa mara kwa taarifa hizi.
Sasa
unaambiwa Klabu moja huko Bolivia (Sport Boys) imemsajili rais wa
Bolivia Evo Morales kucheza kama kiungo wa kati kuanzia Agosti mwaka huu
na mgongoni atakua na jezi namba 10.
Mshahara wa Rais Morales kwenye timu hii atakua akilipwa dola $213
kwa mwezi ambapo ni zaidi ya laki 3 kwa pesa za Kitanzania ,klabu hiyo
ipo Kusini mwa Bolivia katika jimbo la Santa Cruz.
Kwa
sasa Mashabiki wanamsubiri president huyo mwenye umri wa miaka 54
ambaye ni shabiki mzuri wa michezo kucheza mpira.ataichezea Sports Boys,
timu iliyopo kusini mashariki mwa mkoa wa Santa Cruz.
Timu hiyo ambayo ipo katika ligi ndogo imesema kuwa rais huyo atakuwa
akicheza kwa dakika 20 katika kila mchuano watakaokuwa wanacheza,hasa
ikizingatiwa kuwa ni mtu mwenye shughuli nyingi.
Rais Morales amewahi kucheza katika mechi nyingi iliyotambulika pamoja
No comments:
Post a Comment