ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label sports. Show all posts
Showing posts with label sports. Show all posts

Wednesday, May 21, 2014

SAMUEL ETO`O AMZABA KIBAO KINGINE JOSE MOURINHO JUU YA UMRI WAKE



Take that: Samuel Eto'o hit back at Chelsea manager Jose Mourinho after comments surrounding his age
Mourinho alinaswa na Camera akisema maneno mabaya kwa Eto`o kuwa umri wa nyota huyo unaweza kuwa zaidi ya umri wake halisi.
Eto’o, ambaye aliifungia Chelsea magoli  12  alishangilia moja ya bao lake kwa staili ya kibabu kinachotembelea mkongojo na kurudia kuwa bado anao uwezo wa kuendelea kucheza ligi za barani Ulaya.
“Napenda kusema kuwa siendi Marekani wala mashariki ya mbali,” alisema Eto`o ambaye amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja aliosaini katika klabu ya Chelsea akitokea  Anzhi Makhachkala.
“Nitaendelea kucheza  `levo` za juu. Nitaendekea kucheza ligi ya mabingwa. Bado nina mapenzi makubwa na mashindano haya”.
“Sitawaambieni ni wapi, lakini bado nitakuwa `levo` za juu. Nina miaka 33 na bado  nina makombe mawili ya dunia sijacheza”.
“kabla yangu mimi kuna wachezaji waliocheza mpaka miaka 41. Kwahiyo namimi naweza”.
Defying his age: Eto'o scored plenty of goals for Chelsea last season - out-performing those younger than him
  Eto’o aliifungia mabao mengi Chelsea msimu uliopita na kuwazidia vijana

Blunt and to the point: Mourinho was branded a 'fool' by the Cameroonian striker earlier this month
 Mapema mwezi huu, Mourinho alipachikwa jina la `Mjinga` na Mcameroon, Samuel Eto`o

Tuesday, May 20, 2014

Rais anaecheza mpira wa kulipwa cheki na mshahara wake hapa.


prezdaa 
Nikikupa nafasi ya kuniambia namba ngapi atakua anacheza huyu president wan chi kwenye hili soka unaweza kuotea ni namba ngapi?tunaweka kwenye story kubwa kutokana na kutotokea mara kwa mara kwa taarifa hizi.
prezzz 
Sasa unaambiwa Klabu moja huko Bolivia (Sport Boys) imemsajili rais wa Bolivia Evo Morales kucheza kama kiungo wa kati kuanzia Agosti mwaka huu na mgongoni atakua na jezi namba 10.
Mshahara wa Rais Morales kwenye timu hii atakua akilipwa dola $213 kwa mwezi ambapo ni zaidi ya laki 3 kwa pesa za Kitanzania ,klabu hiyo ipo Kusini mwa Bolivia katika jimbo la Santa Cruz.
prez 
Kwa sasa Mashabiki wanamsubiri president huyo mwenye umri wa miaka 54 ambaye ni shabiki mzuri wa michezo kucheza mpira.ataichezea Sports Boys, timu iliyopo kusini mashariki mwa mkoa wa Santa Cruz.
Timu hiyo ambayo ipo katika ligi ndogo imesema kuwa rais huyo atakuwa akicheza kwa dakika 20 katika kila mchuano watakaokuwa wanacheza,hasa ikizingatiwa kuwa ni mtu mwenye shughuli nyingi.
Rais Morales amewahi kucheza katika mechi nyingi iliyotambulika pamoja
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...