Mabaki
ya Mguu ya Muendesha Bodaboda wa Mkoani Mwanza Akiwa amegongwa la
Lori. Ajali Hii ni mbaya sana.Ajali Hiyo imetokea mara baada ya
Muendesha Pikioiki Huyo Kuendesha Bila Kufuata Sheria za Usalama
barabarani na Ndipo Lori Hilo Lilompitia na Kumjeruhi Vibaya.Picha na
The Best blog
wanaotumia
bodaboda wawe makini na madereva wanaowabeba,pia muwe mnawapa mashariti
na juu ya speed wanazoenda nazo,kwa mfano unakuta bodaboda kakaa
kijiweni hana hili wala lile,ukimchukua tu mara anaanza kukimbiza
pikipiki mi huwa nawauliza unawahi wapi na wakati nimekukuta umekaa
kijiweni
Watanzania
wenzangu tueni makini na hivi vyombo vya usafiri maana huyu aliepata
hii ajali hana tofauti kati ya mimi na wewe.Ni hayo tu nawatakia siku
njema na kazi njema katika kulijenga taifa letu.
No comments:
Post a Comment