ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, October 23, 2012

KAMARI MWENGE STANDI MCHANA KWEUPEE!



VIJANA WAHA WALIOKATA TAMAA NA MAISHA NA KUJISUSA NA KUSAHAU NDOTO ZAO WALIZOKUWA WAKIOTA MIAKA KADHAA ILIOPITA KUWA WANGEKUJA KUWA ''WATU FULANI'' MUHIMU KATIKA NCHI YAO HII YA 'ASALI NA MAZIWA' YA TANZANIA LAKINI HAPA WAMEKATA TAMAA NA KUAMUA KUCHEZESHA MCHEZO WA KAMARI MAARUFU KAMA ''KARATA TATU'' AU WAWEZA SEMA KUWA ''ALIYEKULA KALA NA ALIYE LIWA KALIWA'' KAMA WALIVYOKUTWA PEMBENI YA STENDI YA MABARI YA NA MWANDISHI WETU BWANA 'PETER MTAANI' MITAA YA MWENGE NA BAADA YA KUJUWA KUWA WAMEPIGWA PICHA WALINIAMBIA 'NIWALIPE PESA KWASABABU ETI KWAMBA NIMEWAPIGA PICHA NA KUNIPIGA MIKWARA MINGI AMBAYO HATA HIVYO HAIKUNITISHA CHOCHOTE NA HATA HAWAKUONESHA KUSTUKA KUWA WANAFANYA KOSA LA JINAI TENA MCHANA KWEUPEEE, JAMANI WATANZANIA WENZANGU HUKU NI KUKATA TAMAA KWA VIJANA WETU KWA WELI,, JE  WAHUSIKA MPOOOO, WABUNGE VIJANA MPOOOO? SERIKALI JE? (Jembe a.k.a Lowassa amesema mara kwa mara kuwa hili ni bomu linalosubiri kulipuka)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...