Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa
alipowasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano
Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23,
2012
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea zawadi toka kwa Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa
UVCCM Bw. Benno Malisa katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa
chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Nderemo baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kuwasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala
leo Oktoba 23, 2012.
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa
akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya
kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala
leo Oktoba 23, 2012
Meza kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nane wa
Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano huo
Bendi ya muziki ya Vijana Jazz Orchestra 'Wana Pambamoto'
ikitumbuiza kwa wimbo maalumu katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini
Dodoma ikiwa ni shamra ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo
ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Wanachama wa umoja wa vijana kutoka nchi rafiki mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiagwa na wajumbe baada ya kufungua mkutano huo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa Chipukizi wa UVCCM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM pamoja na ujumbe wa viongozi wa
jumuiya za vijana toka nchi mbalimbali marafiki.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment