ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, December 29, 2012

DIMOND VS OMMY DIMPOZ DAR LIVE NI ZAIDI YA KULOGA ,MH ZITO MZUKA WAPANDA

 
Mkali Dimond a k a nataka kulewa , a k a moyo wangu ..na zingine kibao ameonyesha mashambulizi ya hatari kama  katika ukumbi wa burudani wa Dar live ulioko mbagala baada ya kufanya zaidi show ilimfanya mh Zitto kubwe kupagawa na show hiyo kali ambayo ki ukweli bado imefanya DIMOND kuonekana yuko jUU zaidi katika Mziki wa kizazi kipya bongo flaver na hana historia ya kufanya vibaya toka aanze makamuzi yake so ni jambo la  Historia sana so x mass hii mbagala oyeeeeeeeee

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...