ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, January 31, 2013

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akipokea wanachama wapwa katika kijiji cha Rungwe Mpya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma


  Baadhi ya Kadi zilizorejeshwa.
 Nape akikabidhi kadi kwa wanachama wapya.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Rungwe Mpya na Asante Nyerere katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Rungwe Mpya kilichopo Kata ya Rungwe Mpya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi ya CCM Kijiji cha Rungwe Mpya Wilayani Kasulu.
 Nape akiangalia jengo hilo la CCM

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...