ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, January 9, 2013

Kim Kardashian na Kanye West wakataa offa ya dola milioni 3 kwa mtoto wao atakayezaliwa hivi karibuni kupigwa picha

 

Kanye Omari West akiwa na mkewe




 Wanamziki Kim na Kanye wesr wamekataa offa ya dola milioni 3 kwa magazeti ya habari has yale ya udaku wa kimataifa kuwa wa kwanza kupiga picha ya mtoto wao atakayezaliwa hivi karibuni. Inaonekana Kim Kardashian hapendi kufuata nyayo za mastaa wenzake kama  Aina Jolie na Jessica Alba na Christina Aguilera ambao walilipwa mahela kibao kwa watoto wao kupigwa picha. Kulingana na chanzo cha habari cha TMZ cha huko Marekani wapenzi hao wameamua kutokuiuza picha ya mtoto wao walao kwa sasa. Sijui kama watakuja kukubali baadaye au wanajifanya kukataa ili dau lipande zaidi. 

Kim Kardashien ambaye ni mjasiriamali, mwanamitindo na  mtayarishaji wa kipindi cha Kardeshien reality show  alikuwa akilipwa dola 5,000 kwa kipindi lakini baada ya kipindi chake kuwa cha mafanikio makubwa sasa analipwa dola 80,000 kwa siku. Hivyo utajiri wake  kwa sasa unakadiriwa kufikia $ milioni 40
  
 


JUMBA LA KIM

Mwaka 2010 Kim alinunua jumba la dola milioni 4.8 Beverly Hills. Jumba hilo lina vyumba vya kulala 5 na ukubwa wa eka nne. Ni eneo wanaloishi matajiri wakubwa sana.

  
 Katika siku za hivi karibuni, Kim alinunua Ferrari nyeupe auna ya 458 yenye thamani ya dola 325,000

  
FERRARI YA KIM

 
FERRRI YAKE YA ZAMANI

 Kwa upande wake Kanye Omari West mwenye umri wa miaka 35, ana utajiri wa dola milioni 90 na majumba na magari yasiosemekana
Kim Kardashian and Kanye West's New $11 Million Bel Air Mansion 
Jumba la Kanye Omari West
 
Gari la Kanye West likiendeshwa na mkewe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...