ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, January 12, 2013

MAKAMU WA RASI DKT. BILAL AZINDUA HOTELI YA KITALII YA GOLD ZANZIBAR BEACH HOUSE & SPA, MKOA WA KASKAZINI A UNGUJA

  Moja ya sehemu ya Mandhari ya Hoteli hiyo........
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Zanzibar Beach House & Spa, iliyopo Mkoa wa Kaskazini A, Unguja, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika leo Januari 11, 2013, mjini Unguja. Kulia ni Waziri wa Fedha, Zanzibar, Mhe. Omary Yusuph Mzee, (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi wa Hoteli hiyo, Alexandro Azola.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Zanzibar Beach House & Spa, Alexandro Azola (ushoto) wakati alipokuwa akitembelea kukagua maeneo na mazingira ya Hoteli ya hiyo, iliyopo Mkoa wa Kaskazini A, Unguja, wakati wa  hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Januari 11, 2013, mjini Unguja.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mhudumu wa mapokezi wa chumba cha mazoezi na masaji, Zuhura Saleh (kushoto) wakati alipokuwa akitembelea kukagua maeneo na mazingira ya Hoteli ya ya Kitalii ya Gold Zanzibar Beach House & Spa, iliyopo Mkoa wa Kaskazini A, Unguja, wakati wa hafla ya uzinduzi wa hoteli hiyo, uliofanyika leo Januari 11, 2013, mjini Unguja. Kulia ni Waziri wa Fedha, Zanzibar, Mhe. Omary Yusuph Mzee.
 Mkurugenzi wa Hoteli hiyo akimuonyesha Makamu moja ya Chumba cha Hoteli hiyo.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...