Waziri
Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa ametoa pole
nyumbani mwa mjumbe wa baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Benson Mollel
aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha jana hotelini jijini Arusha.
Mh Lowassa akiwapa pole baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu Benson Mollel
Mh Lowassa akiwapa pole baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu Benson Mollel
Mh Lowassa akiwa na mwenyekiti wa CCM Monduli(kulia) Ruben Kunei na mjumbe wa halmashauri kuu taifa NEC (kushoto) Mathias Manga
No comments:
Post a Comment