ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, March 5, 2013

MOTO WATEKETEZA GHARA LA KUHIFADHIA BIDHAA UBUNGO JANA


 
Wafanyakazi wa Zima Moto wakijitahidi kuzima moto uliokuwa ukiwaka katika ghara la kuhifadhia bidhaa eneo la Shekilango Ubungo Dar es Salaam, jana mchana.
 Magari ya vikosi vya zimamoto yakimwaga maji ili kuzima moto huo.
 Vifaa vilivyookolewa kutoka ndani ya ghara hilo.
Jitihada za kuzima moto huo zikiendelea.......
Moto huo ukizidi kusambaa...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...