ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, March 4, 2013

MSIBA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM):MWL BERNADETA MINJA APOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI LA MOHAMED ILIYOTOKEA JANA USIKU ENEO LA GAIRO




 Marehemu Bernadeta Minja Enzi za Uhai Wake

Mwalimu Bernadeta Minja wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii, Idara ya Uchumi na Biashara Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) amefariki dunia juzi usiku katika ajali ya basi la Mohamed iliyotokea juzi usiku eneo la Gairo akiwa safarini kuelekea Dodoma yeye pamoja na mfanyakazi wake wa ndani. Pole, sala na dua zetu ziende kwa familia yake, ndugu, jamaa, marafiki na jamii nzima ya UDOM.
 Msiba Upo Dodoma eneo la Kisasa alipokuwa akikaa Marehemu

Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina la bwana libarikiwe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...