Mkurugenzi
wa Huduma za Maabara Bibi Charys Ugullum akimweleza Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete jinsi maabara ya ukaguzi wa dawa na vyakula inavyofanya
kazi wakati Rais alipotembelea maabara ya kisasa ya TFDA iliyopo Mabibo
External jijini Dar es Salaam jana mchana wakati wa siku ya kwanza ya
ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani Dar es Salaam(picha na Freddy
Maro).
No comments:
Post a Comment