Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mwendesha
Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa (ICC), Bibi Fatou Bensouda wakati
alipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mwendesha
Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa (ICC) Bibi Fatou Bensouda (wa
pili kushoto) mara baada ya…

pili kushoto) mara baada ya kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar es
Salaam jana.Wengine katika picha kushoto ni Mwanasheria Mkuu Jaji
Frederick Werema, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Bibi Angellah Kairuki
(wa nne kushoto) na kulia Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali Bwana
Felesh.
(Picha na Freddy Maro - Ikulu)
No comments:
Post a Comment