Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini
(Chadema), Godbless Lema leo ameshinda rufaa ya kesi yake. Mahakama
imejiridhisha kuwa madai ya udhalilishaji hayakuathiri uchaguzi wala
mlalamikaji (CCM). Tangu sasa Lema ni mbunge halali wa Jimbo la Arusha
Mjini kwa tiketi ya Chadema. CCM wameamriwa kulipa gharama za kesi hii
tangu ilipofunguliwa mpaka ilipoishia!
No comments:
Post a Comment