Msanii Nasibu Abdul 'Diamondi' akiwa amebebwa na wasanii wake
kukoleza manjonjo alipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM, mjini
Morogoro,jana Aprili 21, 2013,
Nasibu Abdul 'Diamondi' akitumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM mjini Morogoro jana Aprili 21, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, nape Nnauye wakiingia katika Uwanja wa Mkutano wa hadhara wa
Kiwanja cha Ndege, mjini Morogoro,jana, April 21, 2013.
katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa
wananchi katika Uwanja wa Uwanja wa Ndege (zamani sabasaba) mjini
Morogoro jana, Aprili 21, 2013, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku
nane aliyofanya katika wilaya zote, mkoani Morogoro.
Umati ukiwa umefurika kwenye mkutano wa CCM uliofanyika jana April 21, 2013 kwenye uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro.
Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa
CCM kwenye Uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro,
wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili
Uwanjani hapo,jana April 21, 2013.Picha na Bashir Nkromo
No comments:
Post a Comment