Jeshi
la polisi Geita linawashikilia watu wawili kwa kosa la kusambaza ujumbe
kwa njia ya simu usemao, UMEPOKEA SHILINGI 50,000.KUTOKA KWA RAIS
KIKWETE KAMA SEHEMU YA MGAO WAKO BAADA YA KIKWETE KUMUUZIA OBAMA NCHI!!
Kamanda wa polisi mkoani hapo alisema kwamba watu hao walikamatwa baada ya kukutwa na msg hizo ktk simu zao za mikononi huku wakiwa wanasambaza kwa watu wengine.
Aliendelea kudai kua jeshi la polisi linatoa onyo kwa wale wote wanaowachafua viongozi wa kitaifa kwa njia za ujumbe kwa simu na kwamba watawachukulia hatua kali.
Source; Radio Free Afrika Matukio!

No comments:
Post a Comment