Wageni waalikwa wakitazama burudani mbalimbali zilizokuwa zikiendelea.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion, Johnson Lukaza akizungumza na wageni.
j
Elizabeth Michael Aka Lulu akitoa
Shukrani kwaWadau wote waliojitokeza katika Usiku wake wa uzinduzi wa
Filamu yake Mpya iitwayo Foolish Age uliofanyika katika Ukumbi wa
Mlimani City Usiku wa Kuamkia Leo
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya
Proin Promotions Limited Geofrey Lukaza (Kushoto) akiwa na Waifu wake
Groly Lukaza (katikakati) pamoja na Pedeshee Mamaa Ng'onzi wakijiachia
Mbele ya Kamera ya Lukaza Blog usiku wa kuamkia Leo katika uzinduzi wa
Filamu ya Lulu iitwayo Foolish Age katika Ukumbi wa Mlimani City chini
ya kampuni ya Proin Promotions Limited
Lady Jay Dee aka Anaconda akitoa
Burudani katika Uzinduzi wa Filamu mpya ya Lulu iitwayo Foolish Age
iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited, Lady Jay Dee
akiwa pamoja na Machozi Band walitoa Bururdani Safi Sana katika Uzinduzi
huo Uliofanywa na Kampuni ya Proin Promotions Limited katika Ukumbi wa
Mlimani City usiku wa Kuamkia Leo
Msanii Barnaba akitoa burudani
katika uzinduzi wa Filamu mpya ya Lulu uliofanya na Kampuni ya Proin
Promotions Limited katika ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia leo
Katikati ni Mama Mzazi wa
Elizabeth Michael akiongea kwa furaha huku akitoa machozi na Msanii wa
Filamu Tanzania Wema Abraham Sepetu(kushoto) na Rafiki yao katika
Uzinduzi wa Filamu ya Lulu ulioandaliwa na kufanywa na Kampuni ya Proin
Promotions Limited katika Ukumbi wa Mlimani City usiku wa Kuamkia Leo
Wema Sepetu (aliyepiga magoti)
akikumbatiana na Mama yake mzazi Lulu wakati wa Uzinduzi wa Filamu ya
Mwanae Elizabeth Michael katika Ukumbi wa Mlimani City, uzinduzi
uliokwenda sambamba na burudani kutoka Kwa Wasanii mbalimbali wa Muziki
wa Bongo Fleva katika Ukumbi wa Mlimani City usiku wa Kuamkia leo.
Wadau wakisakata Mduara katika
uzinduzi huo wa filamu ya Lulu iitwayo Foolish Age uliofanyika katika
Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa kuamkia leo, Uzinduzi huo wa Kufa mtu
uliofanywa na Kampuni ya Proin Promotions Limited ulifana kupita Kiasi
Baadhi ya Wadau Mbalimbali
waliojitokeza katika Uzinduzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani
City chini ya Kampuni ya Pron Promotions Limited.
Meza ya Viongozi wa Kampuni ya
Proin Promotions Limited Kuanzia Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni
ya Proin Promotions Limited Bw Geofrey Lukaza, akifuatiwa na Pedeshee
Mamaa Ng'onzi, Bwa Johnson Lukaza Mwenyekiti waa Makampuni ya Proin
Tanzania, Gadna G Habash na Lady Jay Dee aka Anaconda wakiwa makini
Kufuatilia Uzinduzi Mzima wa Filamu Mpya ya Lulu iitwayo Foolish Age
uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City chini ya Kampuni ya Proin
Promotions Limited.
Paul SekaBoy Mkurugenzi Wa
Sekaboyi Production akiwa na rafiki yake katika uzinduzi wa Filamu ya
Lulu iitwayo Foolish Age katika Ukumbi wa Mlimani City Usikuwa kuamkia
leo
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya
Lady jay Dee akituzwa Mahela katika Uzinduzi wa Filamu Mpya ya LULU
iitwayo Foolish Age ndani ya ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia leo
No comments:
Post a Comment