ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, August 14, 2013

PAPA FRANCIS AKUTANA NA MARIO BALOTELLI NA LIONEL MESSI VATICAN CITY - KUELEKEA MCHEZO WA KIRAFIKI KATI YA ITALIA VS ARGENTINA



The Hand of God: Messi and Italy captain Gigi Buffon (left) meet the Pope on Tuesday
Golikipa wa Italia Buffon na Lionel Messi wakiwa na Papa Francis Vatican leo wakati wachezaji wa timu ya taifa ya Italia na Argentina ambao wanajiandaa na mchezo wa kirafiki baina yao walipoenda kumtembelea kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani.
All smiles: Balotelli and the Pope share a joke
Papa akiwa na Kichaa Mario Balotelli wakitaniana wakati wachezaji mbalimbali walipoenda kumtembelea mkuu huyo wa kanisa katoliki duniani
Friendly rivalry: Italy take on Argentina on Wednesday night

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...