Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imesema Kutokana na Mtafuruku Uliotokea Bungeni Kwa Kutolewa Nje Kiongozi Wa Kambi hiyo Mh. Freeman Mbowe Amesema Hawaungi Mkono Muswada Wa Sheria Ya Marekebisho Ya Katiba Ya Mwaka 2013 Kwa Kuwa Haiwatendei Haki Watanzania .
No comments:
Post a Comment