Matukio ya picha baada waandishi na maafisa wabunge walivyonusurika katika ajari iliyotokea karatu jana.
Maafisa wa Bunge na waandishi walikuwa katika msafara wa Wabunge toka nchi za SADC waliokua wanaelekea ngorongoro
Afisa Habari wabunge Owen Mwandumbya akiwa amepumzishwa ili apate hewa kidogo baada ya ajari
Maafisa wa Bunge na waandishi walikuwa katika msafara wa Wabunge toka nchi za SADC waliokua wanaelekea ngorongoro
No comments:
Post a Comment