





Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa
pamoja na Chifu Mkuu wa Kabila la Unyenyembe, Chifu Msagata Fundikira
wakiwa kwenye picha ya pamoja na machifu kutoka mikoa mbalimbali hapa
nchini walioshiriki kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mtemi
Isike Mwanakiyungi aliefariki miaka 124 iliyopita.